Wednesday, September 3, 2014

Kilimo Cha Umwagiliaji Kuchangia Asilimia 25 Ya Chakula

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Mheshimiwa Eng.  Christopher Kajoro Chiza (Mb) ameeleza  kuwa, kilimo cha umwagiliaji  kina nafasi ya kuchangia asilimia 25 ya chakula  kinachozalishwa nchini.  Aliyalisema hayo wakati  alipotembelea mradi wa umwagiliaji wa Nkoanrua katika Halmashauri ya  Wilaya ya  Meru.
Azma hiyo inaweza kufikiwa kwa  kuongeza eneo, pamoja na kuongeza tija katika maeneo yaliyopo. Hatua za kuchukua ni pamoja na kubadili kilimo cha kujikimu kuwa cha kibiashara.
Alisisitiza kuwa hatua hiyo itafikiwa endapo wakulima watabadilika na  kulima kilimo cha kisasa badala ya  kilimo cha mazoea. Hatua nyingine ni kukarabati na
Read More>>