MSIMU WA MAVUNO: Wanafunzi wakiwa
kwenye uvunaji wa tumbaku, moja ya zao maarufu la kilimo cha biashara
mkoani Tabora. Hii ni sehemu ya mafunzo kwa wanafunzi wa chuo cha kilimo
Tumbi, wanajifunza namna ya kuvuna tumbaku katika mivuno tofauti
kulingana na elimu wanayoipata
chuoni, tunaweza kuvuna majani mawili au zaidi ya hayo kulingana na ubora na jinsi mmea wa
Tumbaku ulivyostawi.
|